Proverbs 7:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimshawishi kwa maneno mengi ya kubembeleza; kijana akashawishika kwa maneno yake matamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maneno laini yule mwanamke akampotosha; alimshawishi kwa maneno yake laini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maneno yake mengi na ulaini akamshawishi, Kwa ubembelezi wa midomo yake akamshinda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimshawishi kwa maneno mengi ya kubembeleza; kijana akashawishika kwa maneno yake matamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maneno laini yule mwanamke akampotosha, alimshawishi kwa maneno yake laini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maneno laini yule mwanamke akampotosha; alimshawishi kwa maneno yake laini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maneno yake mengi na ulaini akamshawishi, Kwa ubembelezi wa midomo yake akamshinda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimshawishi kwa maneno mengi ya kubembeleza; kijana akashawishika kwa maneno yake matamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, alivyomshinda kwa maneno yake mengi yatelezayo, akamwangusha kwa huo utelezi wa midomo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maneno yake mengi na ulaini akamshawishi, Kwa ubembelezi wa midomo yake akamshinda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alimushawishi kwa maneno mengi ya kubembeleza; kijana akashawishiwa kwa maneno yake matamu.