Proverbs 7:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana amewaangusha wanaume wengi; ni wengi mno hao aliowachinja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliowaangusha ni wengi; aliowachinja ni kundi kubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana amewaangusha wengi waliojeruhi, Naam, jumla ya waliouawa naye ni jeshi kubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana amewaangusha wanaume wengi; ni wengi mno hao aliowachinja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliowaangusha ni wengi; aliowachinja ni kundi kubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliowaangusha ni wengi; aliowachinja ni kundi kubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana amewaangusha wengi aliowajeruhi, Naam, jumla ya waliouawa naye ni wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana amewaangusha wanaume wengi; ni wengi mno hao aliowachinja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wengi aliwaangusha alipokwisha kuwatia vidonda, wote waliouawa naye ni wengi sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana amewaangusha wengi waliojeruhi, Naam, jumla ya waliouawa naye ni jeshi kubwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana amewaangusha wanaume wengi; ni wengi sana wale aliowachinja.