Proverbs 8:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi Hekima ninao ujuzi; ninayo maarifa na busara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mimi hekima, nakaa pamoja na busara; ninamiliki maarifa na busara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi, hekima, nimefanya werevu kuwa kao langu; Natafuta maarifa na busara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi Hekima ninao ujuzi; ninayo maarifa na busara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mimi hekima, nakaa pamoja na busara, ninamiliki maarifa na busara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mimi hekima, nakaa pamoja na busara; ninamiliki maarifa na busara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi, hekima, nimefanya werevu kuwa makao yangu; Natafuta maarifa na busara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi Hekima ninao ujuzi; ninayo maarifa na busara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi werevu wa kweli ninakaa pamoja na ubingwa, nikapata kujua nayo mawazo ya moyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi, hekima, nimefanya werevu kuwa kao langu; Natafuta maarifa na busara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi Hekima nina ujuzi; nina maarifa na akili.