Proverbs 8:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nina uwezo wa kushauri na nina hekima. Ninao ujuzi na nina nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ushauri na hukumu sahihi ni vyangu; nina ufahamu na nina nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shauri ni langu, na maarifa yaliyo sahihi; Mimi ni ufahamu, mimi nina nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nina uwezo wa kushauri na nina hekima. Ninao ujuzi na nina nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ushauri na hukumu sahihi ni vyangu, nina ufahamu na nina nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ushauri na hukumu sahihi ni vyangu; nina ufahamu na nina nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ushauri ni wangu, na maarifa yaliyo sahihi; Mimi ni ufahamu, mimi nina nguvu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nina uwezo wa kushauri na nina hekima. Ninao ujuzi na nina nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninayo mashauri mema na ujuzi wa kweli, tena ninao utambuzi na uwezo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shauri ni langu, na maarifa yaliyo sahihi; Mimi ni ufahamu, mimi nina nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nina uwezo wa kushauri na kuamua vizuri. Nina ufahamu na nina nguvu.