Proverbs 8:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawapenda wale wanaonipenda; wanaonitafuta kwa bidii hunipata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nawapenda wale wanaonipenda, na wale wanaonitafuta kwa bidii wataniona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawapenda wale wanipendao, Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawapenda wale wanaonipenda; wanaonitafuta kwa bidii hunipata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawapenda wale wanipendao, Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawapenda wale wanaonipenda; wanaonitafuta kwa bidii hunipata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanipendao ninawapenda, nao wanitafutao kwa bidii toka asubuhi huniona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawapenda wale wanipendao, Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawapenda wale wanaonipenda; wanaonitafuta kwa bidii wananipata.