Proverbs 8:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matunda yangu ni mazuri kuliko dhahabu safi, faida yangu yashinda ile ya fedha bora.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi; kile ninachotoa hupita fedha iliyo bora.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu hupita fedha iliyo teule.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matunda yangu ni mazuri kuliko dhahabu safi, faida yangu yashinda ile ya fedha bora.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi, kile nitoacho hupita fedha iliyo bora.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi; kile nitoacho hupita fedha iliyo bora.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matunda yangu ni bora kuliko dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu ni bora kuliko fedha iliyo safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matunda yangu ni mazuri kuliko dhahabu safi, faida yangu yashinda ile ya fedha bora.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mazao yangu ni mema kuliko dhahabu, ijapo ziwe zimetakata sana; mtu anayoyapata kwangu ni mema kuliko fedha zilizochaguliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu hupita fedha iliyo teule.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matunda yangu ni mazuri kuliko zahabu safi, na faida yangu inashinda ya feza bora.