Proverbs 8:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu penye mwinuko karibu na njia, katika njia panda ndipo alipojiweka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Juu ya miinuko karibu na njia, penye njia panda, ndipo asimamapo;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia, Penye njia panda, ndipo asimamapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu penye mwinuko karibu na njia, katika njia panda ndipo alipojiweka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Juu ya miinuko karibu na njia, penye njia panda, ndipo asimamapo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Juu ya miinuko karibu na njia, penye njia panda, ndipo asimamapo;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia, Penye njia panda, ndipo asimamapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu penye mwinuko karibu na njia, katika njia panda ndipo alipojiweka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kileleni juu ya vilima, njia zinapofika, penye njia panda ndipo, unaposimama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia, Penye njia panda, ndipo asimamapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu kwenye vilima karibu na njia na katika masanganjia ndipo ilipojiweka.