Proverbs 8:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi huwatajirisha wanaonipenda, huzijaza tele hazina zao wanipendao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nawapa utajiri wale wanaonipenda na kuzijaza hazina zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Niwarithishe mali wale wanipendao, Tena nipate kuzijaza hazina zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi huwatajirisha wanaonipenda, huzijaza tele hazina zao wanipendao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nawapa utajiri wale wanipendao na kuzijaza hazina zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nawapa utajiri wale wanipendao na kuzijaza hazina zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Niwarithishe mali wale wanipendao, Tena nipate kuzijaza hazina zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi huwatajirisha wanaonipenda, huzijaza tele hazina zao wanipendao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
niwapate mali wao wanipendao na kuzijaza vyanja vyao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Niwarithishe mali wale wanipendao, Tena nipate kuzijaza hazina zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawatajirisha wale wanaonipenda, ninajaza tele hazina za wanaonipenda.