Proverbs 8:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwenyezi-Mungu aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, zama za zama kabla ya kuwako kitu chochote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwenyezi Mungu aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, kabla ya matendo yake ya zamani;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwenyezi-Mungu aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, zama za zama kabla ya kuwako kitu chochote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“BWANA aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, kabla ya matendo yake ya zamani;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ bwana aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, kabla ya matendo yake ya zamani;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwenyezi-Mungu aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, zama za zama kabla ya kuwako kitu chochote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana aliniumba, niwe mwanzo wa njia yake, hapo kale kabisa, alipokuwa hajatengeneza vingine;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Yawe aliniumba kwa mwanzo wa kazi yake, zamani za kale mbele ya kuumbwa kwa kitu chochote.