Proverbs 8:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilizaliwa kabla ya vilindi vya bahari, kabla ya chemchemi zibubujikazo maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa, wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati visipokuwako vilindi nalizaliwa, Wakati zisipokuwako chemchemi zilizojaa maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilizaliwa kabla ya vilindi vya bahari, kabla ya chemchemi zibubujikazo maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati hazijakuwapo bahari, nilikwishazaliwa, wakati hazijakuwapo chemchemi zilizojaa maji,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa, wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati havijakuwapo vilindi nilizaliwa, Wakati hazijakuwapo chemchemi zilizojaa maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilizaliwa kabla ya vilindi vya bahari, kabla ya chemchemi zibubujikazo maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vilindi vilipokuwa havijawa bado, nilikuwa nimezaliwa, nazo chemchemi zibubujikazo maji zilikuwa hazijawa bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati visipokuwako vilindi nalizaliwa, Wakati zisipokuwako chemchemi zilizojaa maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilizaliwa mbele ya vilindi vya bahari, mbele ya chemichemi zinazobubujika maji.