Proverbs 8:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabla ya milima haijaumbwa, na vilima kusimamishwa mahali pake, mimi nilikuwako tayari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kabla milima haijawekwa mahali pake, kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nalizaliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabla ya milima haijaumbwa, na vilima kusimamishwa mahali pake, mimi nilikuwako tayari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kabla milima haijawekwa mahali pake, kabla vilima havijakuwapo, nilikwishazaliwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kabla milima haijawekwa mahali pake, kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nilizaliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabla ya milima haijaumbwa, na vilima kusimamishwa mahali pake, mimi nilikuwako tayari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Milima ilipokuwa haijawekewa misingi, navyo vilima vilipokuwa havijawa bado, nilikuwa nimezaliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nalizaliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilizaliwa mbele milima na vilima havijaumbwa,