Proverbs 8:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabla Mungu hajaumba dunia na mashamba yake, wala chembe za kwanza za mavumbi ya dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kabla hajaumba dunia wala mashamba yake au vumbi lolote la dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipokuwa hajaiumba dunia, wala makonde Wala chanzo cha mavumbi ya dunia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabla Mungu hajaumba dunia na mashamba yake, wala chembe za kwanza za mavumbi ya dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kabla hajaumba dunia wala mashamba yake au vumbi lo lote la dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kabla hajaumba dunia wala mashamba yake au vumbi lolote la dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alipokuwa hajaiumba dunia, wala mashamba Wala chanzo cha udongo wa dunia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabla Mungu hajaumba dunia na mashamba yake, wala chembe za kwanza za mavumbi ya dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokuwa hajaiumba nchi na mbuga, nao mwanzo wa mavumbi ulipokuwa haujawa bado,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipokuwa hajaiumba dunia, wala makonde Wala chanzo cha mavumbi ya dunia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mbele Mungu hajaumba dunia na mashamba yake, wala chembe za kwanza za mavumbi ya dunia.