Proverbs 8:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilikuwako wakati alipoziweka mbingu, wakati alipopiga duara juu ya bahari;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilikuwepo alipoziweka mbingu mahali pake, wakati alichora mstari wa upeo wa macho kwenye uso wa kilindi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipozithibitisha mbingu nalikuwako; Alipopiga duara katika uso wa bahari;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilikuwako wakati alipoziweka mbingu, wakati alipopiga duara juu ya bahari;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilikuwapo alipoziweka mbingu mahali pake, wakati alipochora mstari wa upeo wa macho juu ya uso wa kilindi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilikuwepo alipoziweka mbingu mahali pake, wakati alichora mstari wa upeo wa macho juu ya uso wa kilindi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alipozithibitisha mbingu nilikuwako; Alipopiga duara katika uso wa bahari;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilikuwako wakati alipoziweka mbingu, wakati alipopiga duara juu ya bahari;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
alipozishikiza mbingu, ndipo, nilipokuwa naye, ilikuwa hapo, alipoupima mviringo wake juu ya vilindi vya maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipozithibitisha mbingu nalikuwako; Alipopiga duara katika uso wa bahari;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilikuwa niko wakati alipoweka mbingu, wakati alipofanya muviringo juu ya bahari;