Proverbs 8:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakati alipoiwekea bahari mpaka wake, maji yake yasije yakavunja amri yake; wakati alipoiweka misingi ya dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakati aliiwekea bahari mpaka wake ili maji yasivunje agizo lake, na wakati aliweka misingi ya dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakati alipoiwekea bahari mpaka wake, maji yake yasije yakavunja amri yake; wakati alipoiweka misingi ya dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati alipoiwekea bahari mpaka wake ili maji yasivunje agizo lake, na wakati alipoweka misingi ya dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati aliiwekea bahari mpaka wake ili maji yasivunje agizo lake, na wakati aliweka misingi ya dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakati alipoiwekea bahari mpaka wake, maji yake yasije yakavunja amri yake; wakati alipoiweka misingi ya dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
alipoikatia bahari mipaka yake, maji yake yasipite hapo, aliposema, alipoishupaza nayo misingi ya nchi:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakati alipowekea bahari mupaka wake kusudi maji yake yasipate kuvunja amri yake, wakati alipoweka misingi ya dunia.