Proverbs 8:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sasa basi wanangu, nisikilizeni: Heri wale wanaofuata njia zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Basi sasa wanangu, nisikilizeni; heri wale wanaozishika njia zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, wanangu, nisikilizeni sasa; Maana heri hao wazishikao amri zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sasa basi wanangu, nisikilizeni: heri wale wanaofuata njia zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Basi sasa wanangu, nisikilizeni; heri wale wanaozishika njia zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Basi sasa wanangu, nisikilizeni; heri wale wanaozishika njia zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, wanangu, nisikilizeni sasa; Maana heri hao wazishikao amri zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sasa basi wanangu, nisikilizeni: Heri wale wanaofuata njia zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa wanangu, nisikilizeni! Wenye shangwe ndio wazishikao njia zangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, wanangu, nisikilizeni sasa; Maana heri hao wazishikao amri zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Sasa basi, wana wangu, munisikilize: heri wale wanaofuata njia zangu.