Proverbs 8:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri mtu anayenisikiliza, anayekaa kila siku mlangoni pangu, anayekesha karibu na milango yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri mtu yule anisikilizaye mimi, akisubiri siku zote malangoni mwangu, akingoja kwenye vizingiti vya mlango wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ana heri mtu yule anisikilizaye, Akisubiri sikuzote malangoni pangu, Akingoja penye vizingiti vya milango yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri mtu anayenisikiliza, anayekaa kila siku mlangoni pangu, anayekesha karibu na milango yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri mtu yule anisikilizae mimi, akisubiri siku zote malangoni mwangu, akingoja kwenye vizingiti vya mlango wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri mtu yule anisikilizaye mimi, akisubiri siku zote malangoni mwangu, akingoja kwenye vizingiti vya mlango wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ana heri mtu yule anisikilizaye, Akisubiri siku zote malangoni pangu, Akingoja penye vizingiti vya milango yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri mtu anayenisikiliza, anayekaa kila siku mlangoni pangu, anayekesha karibu na milango yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye shangwe ni mtu anisikiaye, alalaye macho siku kwa siku penye malango yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ana heri mtu yule anisikilizaye, Akisubiri sikuzote malangoni pangu, Akingoja penye vizingiti vya milango yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri mutu anayenisikiliza, anayeikaa kila siku kwenye mulango wangu, anayekesha karibu na milango yangu.