Proverbs 8:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayenipata mimi amepata uhai, amepata upendeleo kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima, na kujipatia kibali kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana yeye anionaye mimi aona uzima, Naye atapata kibali kwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayenipata mimi amepata uhai, amepata upendeleo kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana ye yote anipatae mimi amepata uzima na kujipatia kibali kutoka kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima, na kujipatia kibali kutoka kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana yeye anionaye mimi aona uzima, Naye atapata kibali kwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayenipata mimi amepata uhai, amepata upendeleo kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani aliyenipata mimi amekwisha kupata uzima, tena huona upendeleo kwake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana yeye anionaye mimi aona uzima, Naye atapata kibali kwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayenipata mimi amepata uzima, na upendeleo kutoka kwa Yawe.