Proverbs 8:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asiyenipata anajidhuru mwenyewe; wote wanaonichukia wanapenda kifo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini yeyote ashindwaye kunipata hujiumiza mwenyewe; na wote wanaonichukia mimi hupenda mauti.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali anikosaye hujidhuru nafsi yake mwenyewe, Na wao wanichukiao hupenda mauti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asiyenipata anajidhuru mwenyewe; wote wanaonichukia wanapenda kifo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ye yote ashindwaye kunipata hujiumiza mwenyewe; na wote wanichukiao mimi hupenda mauti.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini yeyote ashindwaye kunipata hujiumiza mwenyewe; na wote wanichukiao mimi hupenda mauti.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali anikosaye hujidhuru nafsi yake mwenyewe, Na wao wanichukiao hupenda mauti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asiyenipata anajidhuru mwenyewe; wote wanaonichukia wanapenda kifo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini asiyenipata mimi huikorofisha roho yake mwenyewe, kwani wote wanichukiao hupenda kufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali anikosaye hujidhuru nafsi yake mwenyewe, Na wao wanichukiao hupenda mauti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asiyenipata anajizuru mwenyewe; wote wanaonichukia wanapenda kifo.”