Proverbs 8:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Enyi watu wote, nawaita nyinyi! Wito wangu ni kwa ajili ya binadamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ni ninyi watu, ninaowaita; ninapaza sauti yangu kwa wanadamu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi watu, nawaita ninyi; Na sauti yangu ni kwa wanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Enyi watu wote, nawaita nyinyi! Wito wangu ni kwa ajili ya binadamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ni ninyi wanaume, ninaowaita, ninapaza sauti yangu kwa wanadamu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ni ninyi wanaume, ninaowaita; ninapaza sauti yangu kwa wanadamu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi watu, nawaita ninyi; Na sauti yangu ni kwa wanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Enyi watu wote, nawaita nyinyi! Wito wangu ni kwa ajili ya binadamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi waume ninawaita, ninawapalizia sauti, ninyi wana wa Adamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi watu, nawaita ninyi; Na sauti yangu ni kwa wanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Enyi watu wote, ninawaita ninyi! Wito wangu ni kwa ajili ya wanadamu.