Proverbs 8:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni maana nitakachosema ni jambo muhimu; midomoni mwangu mtatoka mambo ya adili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema; ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikieni, maana nitasema yaliyo mazuri, Na kufumbua midomo yangu kutakuwa maadili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni maana nitakachosema ni jambo muhimu; midomoni mwangu mtatoka mambo ya adili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema, ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema; ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikilizeni, maana nitasema yaliyo mazuri, Na kufumbua midomo yangu kutakuwa maadili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni maana nitakachosema ni jambo muhimu; midomoni mwangu mtatoka mambo ya adili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikilizeni! Kwani nitasema mambo makuu, nikifumbua midomo yangu, yatatoka maneno yanyokayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikieni, maana nitasema yaliyo mazuri, Na kufumbua midomo yangu kutakuwa maadili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikilize maana nitakachosema ni jambo la lazima; katika midomo yangu mutatoka mambo ya haki.