Proverbs 8:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kinywa changu kitatamka kweli tupu; uovu ni chukizo midomoni mwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kinywa changu husema lililo kweli, kwa maana midomo yangu huchukia uovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kinywa changu kitasema kweli, Na uovu ni chukizo kwa midomo yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kinywa changu kitatamka kweli tupu; uovu ni chukizo midomoni mwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kinywa changu husema lililo kweli, kwa maana midomo yangu huchukia uovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kinywa changu husema lililo kweli, kwa maana midomo yangu huchukia uovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kinywa changu kitasema kweli, Na uovu ni chukizo kwa midomo yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kinywa changu kitatamka kweli tupu; uovu ni chukizo midomoni mwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kinywa changu kitayatamka yaliyo ya kweli, maneno yasiyomcha Mungu huitapisha midomo yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kinywa changu kitasema kweli, Na uovu ni chukizo kwa midomo yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kinywa changu kitasema kweli mutupu; uovu ni chukizo katika midomo yangu.