Proverbs 8:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa mtu mwelewa kila kitu ni wazi, kwa mwenye maarifa yote ni sawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa wenye kupambanua, yote ni sahihi; hayana kasoro kwa wale wenye maarifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yote humwelea yule afahamuye, Yote huelekea mbele yao waliopata maarifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa mtu mwelewa kila kitu ni wazi, kwa mwenye maarifa yote ni sawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa wenye kupambanua yote ni sahihi, hayana kasoro kwa wale wenye maarifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa wenye kupambanua yote ni sahihi; hayana kasoro kwa wale wenye maarifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yote humwelea yule afahamuye, Yote huelekea mbele yao waliopata maarifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa mtu mwelewa kila kitu ni wazi, kwa mwenye maarifa yote ni sawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yote pia humwelea mwenye utambuzi, nao wenye ujuzi huona, ya kuwa yamenyoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yote humwelea yule afahamuye, Yote huelekea mbele yao waliopata maarifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mutu mwenye ufahamu kila kitu ni wazi, kwa mwenye maarifa yote imesawanishwa.