Proverbs 9:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa hekima; na kumjua yule Mtakatifu ni kupata akili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kumcha Mwenyezi Mungu ndicho chanzo cha hekima, na kumjua Aliye Mtakatifu ni ufahamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kumcha Bwana ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa hekima; na kumjua yule Mtakatifu ni kupata akili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kumcha BWANA ni mwanzo wa hekima na kumjua Mtakatifu ni ufahamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kumcha bwana ndicho chanzo cha hekima, na kumjua Aliye Mtakatifu ni ufahamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kumcha BWANA ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa hekima; na kumjua yule Mtakatifu ni kupata akili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumcha Bwana ndio mwanzo wa werevu wa kweli, tena kumjua Mtakatifu ndio ujuzi.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kumcha BWANA ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kumwogopa Yawe ni musingi wa hekima; na kumujua yule Mutakatifu ni kupata akili.