Proverbs 9:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa msaada wangu mimi Hekima siku zako zitaongezwa; utaongezewa miaka mingi maishani mwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana kwa msaada wangu siku zako zitakuwa nyingi, na miaka itaongezwa katika maisha yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa msaada wangu mimi Hekima siku zako zitaongezwa; utaongezewa miaka mingi maishani mwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kwa msaada wangu siku zako zitakuwa nyingi, na miaka itaongezwa katika maisha yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kwa msaada wangu siku zako zitakuwa nyingi, na miaka itaongezwa katika maisha yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa msaada wangu mimi Hekima siku zako zitaongezwa; utaongezewa miaka mingi maishani mwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwa msaada wangu siku zako zitakuwa nyingi, nayo miaka yako ya kukaa mwenye uzima itaongozeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa musaada wangu mimi Hekima siku zako zitaongezwa; utaongezewa miaka mingi katika maisha yako.