Proverbs 9:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama una hekima, itakufaa wewe mwenyewe; kama ukiidharau, mwenyewe utapata hasara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama wewe una hekima, hekima yako itakupa tuzo; kama wewe ni mtu wa mzaha, wewe mwenyewe ndiwe utateseka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama una hekima, una hekima kwa nafsi yako; Na kama una dharau, utaichukua peke yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama una hekima, itakufaa wewe mwenyewe; kama ukiidharau, mwenyewe utapata hasara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama wewe una hekima, hekima yako itakupa tuzo; kama wewe ni mtu wa mzaha, wewe mwenyewe ndiwe utateseka.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama wewe una hekima, hekima yako itakupa tuzo; kama wewe ni mtu wa mzaha, wewe mwenyewe ndiwe utateseka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama una hekima, una hekima kwa nafsi yako; Na kama una dharau, utaichukua peke yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama una hekima, itakufaa wewe mwenyewe; kama ukiidharau, mwenyewe utapata hasara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukiwa umeerevuka kweli, umejipatia mapato ya werevu wa kweli; ukiwa u mfyozaji, basi, utatwikwa peke yako huo mzigo wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama una hekima, una hekima kwa nafsi yako; Na kama una dharau, utaichukua peke yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama una hekima, itakufaa wewe mwenyewe; kama ukiizarau, wewe mwenyewe utapata hasara.