Proverbs 9:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hukaa kitako mlangoni mwa nyumba yake, huweka kiti chake mahali pa juu mjini,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huketi kwenye mlango wa nyumba yake, kwenye kiti katika mahali pa juu sana pa mji,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hukaa mlangoni pa nyumba yake, Juu ya kiti mahali pa mjini palipoinuka,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hukaa kitako mlangoni mwa nyumba yake, huweka kiti chake mahali pa juu mjini,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huketi kwenye mlango wa nyumba yake, juu ya kiti katika mahali pa juu sana pa mji,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huketi kwenye mlango wa nyumba yake, juu ya kiti katika mahali pa juu sana pa mji,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hukaa mlangoni pa nyumba yake, Juu ya kiti mahali pa mjini palipoinuka,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hukaa kitako mlangoni mwa nyumba yake, huweka kiti chake mahali pa juu mjini,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hukaa mlangoni pa nyumba yake katika kiti mahali pa mjini panapoinukia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hukaa mlangoni pa nyumba yake, Juu ya kiti mahali pa mjini palipoinuka,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anaikaa kitako kwenye mulango wa nyumba yake, anaweka kiti chake pahali pa juu katika muji,