Proverbs 9:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anawaambia wale wasio na maamuzi, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akisema: Aliye mjinga aje kuingia humu! Nao wasiojua kitu huwaambia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Yeyote anayekuwa mujinga akuje hapa!” Na yeyote anayekuwa mupumbafu anamwambia: