Proverbs 9:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Maji ya wizi ni matamu sana; mkate unaoliwa kwa siri ni mzuri sana.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maji yaliyoibiwa ni matamu; chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maji yaliyoibiwa ni matamu, Na mkate ulioliwa kwa siri hupendeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Maji ya wizi ni matamu sana; mkate unaoliwa kwa siri ni mzuri sana.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Maji yaliyoibiwa ni matamu, chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Maji yaliyoibiwa ni matamu; chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maji yaliyoibiwa ni matamu, Na mkate ulioliwa kwa siri hupendeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Maji ya wizi ni matamu sana; mkate unaoliwa kwa siri ni mzuri sana.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maji yaliyoibiwa ni matamu, navyo vilaji vinavyoliwa na kufichaficha hupendeza!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maji yaliyoibiwa ni matamu, Na mkate ulioliwa kwa siri hupendeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Maji yaliyoibwa ni matamu sana; mukate unaokuliwa kwa siri ni muzuri sana.”