Proverbs 9:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mjinga hajui kwamba humo mna wafu, wageni wa mwanamke huyo wamo chini Kuzimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, kwamba wageni wake huyo mwanamke wako katika vilindi vya Kuzimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini huyo hajui ya kuwa wafu wamo humo; Ya kuwa wageni wake wamo chini kuzimuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mjinga hajui kwamba humo mna wafu, wageni wa mwanamke huyo wamo chini Kuzimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, kwamba wageni wake huyo mwanamke wako katika vilindi vya kuzimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, kwamba wageni wake huyo mwanamke wako katika vilindi vya kuzimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini huyo hajui ya kuwa wafu wamo humo; Ya kuwa wageni wake wamo chini kuzimuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mjinga hajui kwamba humo mna wafu, wageni wa mwanamke huyo wamo chini Kuzimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mjinga hajui, ya kuwa ndiko, mizimu iliko, ya kuwa wao walioalikwa naye hufika katika makorongo ya kuzimuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini huyo hajui ya kuwa wafu wamo humo; Ya kuwa wageni wake wamo chini kuzimuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mujinga hajui kwamba mule muna wafu, wageni wa mwanamuke yule wako chini katika kuzimu.