Proverbs 9:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usimwonye mwenye dharau maana atakuchukia; mwonye mwenye hekima naye atakupenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usimkemee mwenye dhihaka, la sivyo atakuchukia; mkemee mwenye hekima naye atakupenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usimkaripie mwenye dharau, asije akakuchukia; Mkaripie mwenye hekima, naye atakupenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usimwonye mwenye dharau maana atakuchukia; mwonye mwenye hekima naye atakupenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia; mkemee mwenye hekima naye atakupenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia; mkemee mwenye hekima naye atakupenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usimkaripie mwenye dharau, asije akakuchukia; Mkaripie mwenye hekima, naye atakupenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usimwonye mwenye dharau maana atakuchukia; mwonye mwenye hekima naye atakupenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usimwonye mfyozaji, asikuchukie! Mwonye mwerevu wa kweli naye atakupenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usimkaripie mwenye dharau, asije akakuchukia; Mkaripie mwenye hekima, naye atakupenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimwonye mwenye kiburi maana atakuchukia; umwonye mwenye hekima naye atakupenda.