Psalms 1:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
bali huifurahia sheria ya Mwenyezi-Mungu, na kuitafakari mchana na usiku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali huifurahia Torati ya Mwenyezi Mungu, naye huitafakari hiyo Torati usiku na mchana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
bali huifurahia sheria ya Mwenyezi-Mungu, na kuitafakari mchana na usiku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali huifurahia sheria ya BWANA, naye huitafakari hiyo sheria mchana na usiku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali huifurahia Torati ya bwana, naye huitafakari hiyo Torati usiku na mchana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
bali huifurahia sheria ya Mwenyezi-Mungu, na kuitafakari mchana na usiku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila hupendezwa na Maonyo yake Bwana, hayo Maonyo yake ndiyo, ayawazayo mchana na usiku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini anafurahia sheria ya Yawe, na kuifikiri muchana na usiku.