Psalms 1:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini waovu sivyo walivyo; wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sivyo walivyo waovu! Wao ni kama makapi yanayopeperushwa na upepo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sivyo walivyo wasio haki; Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini waovu sivyo walivyo; wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sivyo walivyo waovu! Wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sivyo walivyo waovu! Wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sivyo walivyo wasio haki; Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini waovu sivyo walivyo; wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wasiomcha Mungu sivyo walivyo, wao hufanana na makapi, upepo uyapeperushayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sivyo walivyo wasio haki; Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini waovu si vile hata kidogo. Wao ni kama maganda yanayopeperushwa na upepo.