Psalms 1:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu huziongoza njia za waadilifu; lakini njia za waovu zitaishia katika maangamizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Mwenyezi Mungu huziangalia njia za mwenye haki, bali njia za waovu zitaangamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana anaijua njia ya wenye haki, Bali njia ya wasio haki itapotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu huziongoza njia za waadilifu; lakini njia za waovu zitaishia katika maangamizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana BWANA huziangalia njia za mwenye haki, bali njia ya waovu itaangamia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana bwana huziangalia njia za mwenye haki, bali njia ya waovu itaangamia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA anaijua njia ya wenye haki, Bali njia ya wasio haki itapotea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu huziongoza njia za waadilifu; lakini njia za waovu zitaishia katika maangamizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana huijua njia yao walio waongofu, lakini njia yao wasiomcha Mungu itapotea.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA anaijua njia ya wenye haki, Bali njia ya wasio haki itapotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Yawe anashugulikia njia ya watu wa haki; lakini njia ya waovu itaangamia.