Psalms 10:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, mbona wasimama mbali? Kwa nini wajificha wakati tumo taabuni?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini, Ee Mwenyezi Mungu, unasimama mbali? Kwa nini unajificha wakati wa shida?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, mbona wasimama mbali? Kwa nini wajificha wakati tumo taabuni?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini, Ee BWANA, unasimama mbali? Kwa nini unajificha wakati wa shida?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini, Ee bwana, unasimama mbali? Kwa nini unajificha wakati wa shida?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani unajificha nyakati za shida?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, mbona wasimama mbali? Kwa nini wajificha wakati tumo taabuni?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, ukisimama mbali, ni kwa sababu gani? Ukaja kujificha siku za kusongeka?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, mbona unasimama mbali? Kwa nini unajificha wakati tuko katika taabu?