Psalms 10:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwovu huwaza moyoni mwake: “Mungu amesahau; ameficha uso wake, haoni kitu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anajisemea mwenyewe, “Mungu amesahau, huficha uso wake na haoni kabisa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asema moyoni mwake, Mungu amesahau, Auficha uso wake, haoni kamwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwovu huwaza moyoni mwake: “Mungu amesahau; ameficha uso wake, haoni kitu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anajisemea mwenyewe, “Mungu amesahau, huficha uso wake na haoni kabisa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anajisemea mwenyewe, “Mungu amesahau, huficha uso wake na haoni kabisa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asema moyoni mwake, Mungu amesahau, Auficha uso wake, haoni kamwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwovu huwaza moyoni mwake: “Mungu amesahau; ameficha uso wake, haoni kitu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Husema moyoni mwake: Mungu amewasahau, ameuficha uso wake, asiwatazame kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asema moyoni mwake, Mungu amesahau, Auficha uso wake, haoni kamwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwovu anawaza ndani ya moyo wake: “Mungu amesahau; ameficha uso wake, haoni kitu!”