Psalms 10:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwaadhibu; usiwasahau wanaodhulumiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Inuka Mwenyezi Mungu! Inua mkono wako, Ee Mungu. Usiwasahau wanyonge.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, uondoke, Ee Mungu, uuinue mkono wako, Usiwasahau wanyonge.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwaadhibu; usiwasahau wanaodhulumiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Inuka BWANA! Inua mkono wako, Ee Mungu. Usiwasahau wanyonge.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Inuka bwana! Inua mkono wako, Ee Mungu. Usiwasahau wanyonge.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Inuka, Ee Mungu BWANA, uuinue mkono wako, Ee Mungu Usiwasahau wanyonge.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwaadhibu; usiwasahau wanaodhulumiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inuka, Bwana! Nao mkono wako uunyoshe, Mungu! Usiwasahau hao walio wanyonge!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, uondoke, Ee Mungu, uuinue mkono wako, Usiwasahau wanyonge.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, simama sasa uwaazibu! Usiwasahau wanaoteswa.