Psalms 10:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu, kwa nini mwovu anakudharau, na kusema ati hutamfanya awajibike?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini mtu mwovu anamtukana Mungu? Kwa nini anajiambia mwenyewe, “Hataniita nitoe hesabu”?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani mdhalimu kumdharau Mungu. Akisema moyoni mwake, Hutapatiliza?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, kwa nini mwovu anakudharau, na kusema ati hutamfanya awajibike?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini mtu mwovu anamtukana Mungu? Kwa nini anajiambia mwenyewe, “Hataniita nitoe hesabu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini mtu mwovu anamtukana Mungu? Kwa nini anajiambia mwenyewe, “Hataniita nitoe hesabu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa nini mdhalimu amdharau Mungu. Akisema moyoni mwake, Hutapatiliza?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, kwa nini mwovu anakudharau, na kusema ati hutamfanya awajibike?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sababu gani wakubeze, Mungu, wao wasiokucha wakisema mioyoni mwao: Hutalipisha?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani mdhalimu kumdharau Mungu. Akisema moyoni mwake, Hutapatiliza?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, kwa nini mwovu anakuzarau, na kusema kwamba wewe haujali kitu?