Psalms 10:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uzivunje nguvu za mtu mwovu; ukomeshe uovu wake wote, usiwepo tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vunja mkono wa mtu mbaya na mwovu; mwite mtu mbaya atoe hesabu ya uovu wake ambao usingejulikana vinginevyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uuvunje mkono wake mdhalimu, Na mbaya, uipatilize dhuluma yake, hata usiione.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uzivunje nguvu za mtu mwovu; ukomeshe uovu wake wote, usiwepo tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vunja mkono wa mtu mwovu na mbaya, mwite atoe hesabu ya maovu yake ambayo yasingejulikana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vunja mkono wa mtu mwovu na mbaya, mwite atoe hesabu ya maovu yake ambayo yasingejulikana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uuvunje mkono wa mdhalimu, Na mwovu, uipatilize dhuluma yake, hadi usiione.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uzivunje nguvu za mtu mwovu; ukomeshe uovu wake wote, usiwepo tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ivunje mikono yake asiyekucha kwa kuwa mbaya! Yalipize mabezo yake, yasionekane tena!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uuvunje mkono wake mdhalimu, Na mbaya, uipatilize dhuluma yake, hata usiione.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uvunje nguvu za mutu mwovu; ukomeshe uovu wake wote, usikuwe tena.