Psalms 10:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni mfalme milele na milele! Mataifa yasiyomjua yatatoweka nchini mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni Mfalme milele na milele, mataifa wataangamia watoke nchini mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ndiye Mfalme milele na milele; Mataifa wamepotea kutoka nchi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mfalme milele na milele! Mataifa yasiyomjua yatatoweka nchini mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni Mfalme milele na milele, mataifa wataangamia watoke nchini mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni Mfalme milele na milele, mataifa wataangamia watoke nchini mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ndiye Mfalme milele na milele; Mataifa yataangamia kutoka nchi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mfalme milele na milele! Mataifa yasiyomjua yatatoweka nchini mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni mfalme siku zote zitakazokuwa kale na kale, wamizimu sharti waangamie nchini kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ndiye Mfalme milele na milele; Mataifa wamepotea kutoka nchi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni mufalme milele na milele! Mataifa yatatoweka katika inchi yake.