Psalms 10:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, wapokea dua za mnyonge; wampa moyo na kumtegea sikio.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unasikia, Ee Mwenyezi Mungu, shauku ya wanaoonewa; wewe huwatia moyo, na kusikiliza kilio chao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, umeisikia tamaa ya wanyonge, Utaitengeneza mioyo yao, utalitega sikio lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, wapokea dua za mnyonge; wampa moyo na kumtegea sikio.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unasikia, Ee BWANA, shauku ya wanaoonewa, watie moyo nawe usikilize kilio chao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unasikia, Ee bwana, shauku ya wanaoonewa, wewe huwatia moyo, na kusikiliza kilio chao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, utayasikia matakwa ya wanyonge, Utaidhibiti mioyo yao, utalitega sikio lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, wapokea dua za mnyonge; wampa moyo na kumtegea sikio.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanyonge umewasikia, Bwana, walipokupigia kite, ukaishikiza mioyo yao na kuwasikiliza kwa masikio yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, umeisikia tamaa ya wanyonge, Utaitengeneza mioyo yao, utalitega sikio lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, unapokea maombi ya muzaifu; unamutia moyo na kumutegea sikio.