Psalms 10:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utawatendea haki yatima na wanaodhulumiwa, binadamu aliye udongo asiweze tena kuleta hofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ukiwatetea yatima na waliodhulumiwa, ili mwanadamu ambaye ni udongo asiogopeshe tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili kumhukumu yatima naye aliyeonewa, Binadamu aliye udongo asizidi kudhulumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utawatendea haki yatima na wanaodhulumiwa, binadamu aliye udongo asiweze tena kuleta hofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ukiwatetea yatima na walioonewa, ili kwamba mwanadamu, ambaye ni udongo, asiogopeshe tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ukiwatetea yatima na walioonewa, ili mwanadamu, ambaye ni udongo, asiogopeshe tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili kumhukumu yatima na aliyeonewa, Binadamu aliye udongo asizidi kudhulumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utawatendea haki yatima na wanaodhulumiwa, binadamu aliye udongo asiweze tena kuleta hofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huwaamulia waliofiwa na wazazi, nao wakorofikao, mtu asifulize tena kujivuna huku nchini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili kumhukumu yatima naye aliyeonewa, Binadamu aliye udongo asizidi kudhulumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utawatendea haki wayatima na wanaoteswa, mwanadamu anayekuwa mavumbi asiweze tena kuleta hofu.