Psalms 10:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kiburi waovu wanawatesa maskini; njama zao ziwanase wao wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika kiburi chake, mwovu humtesa maskini, waovu na wanaswe katika hila wanazozitunga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kiburi chake asiye haki mnyonge anafuatiwa kwa ukali; Na wanaswe kwa hila zizo hizo walizoziwaza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kiburi waovu wanawatesa maskini; njama zao ziwanase wao wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika kiburi chake mtu mwovu humtesa mtu aliye maskini, waovu na wanaswe katika hila wanazozitunga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika kiburi chake, mwovu humtesa maskini, waovu na wanaswe katika hila wanazozitunga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kiburi chake asiye haki mnyonge anafuatiwa kwa ukali; Na wanaswe kwa hila zizo hizo walizoziwaza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kiburi waovu wanawatesa maskini; njama zao ziwanase wao wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa majivuno yao wasiokucha mnyonge hutishika, na watekwe kwa mapotovu, waliyoyawaza!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kiburi chake asiye haki mnyonge anafuatiwa kwa ukali; Na wanaswe kwa hila zizo hizo walizoziwaza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu wanatesa wamasikini kwa kiburi. Mitego yao iwanase wao wenyewe!