Psalms 10:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwovu hujisifia tamaa zake mbaya, mtu wa tamaa hulaani na kumkataa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hujivunia tamaa za moyo wake; humbariki mlafi na kumtukana Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mdhalimu hujisifia tamaa ya nafsi yake, Na mwenye choyo humkana Bwana na kumdharau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwovu hujisifia tamaa zake mbaya, mtu wa tamaa hulaani na kumkataa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hujivunia tamaa za moyo wake; humbariki mlafi na kumtukana BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hujivunia tamaa za moyo wake; humbariki mlafi na kumtukana bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mdhalimu hujisifia tamaa ya nafsi yake, Na mwenye choyo humkana BWANA na kumdharau.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwovu hujisifia tamaa zake mbaya, mtu wa tamaa hulaani na kumkataa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asiyemcha Mungu hujivunia tamaa za roho yake, naye mwenye choyo humtukana Bwana na kumbeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mdhalimu hujisifia tamaa ya nafsi yake, Na mwenye choyo humkana BWANA na kumdharau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwovu anajisifia tamaa zake mbaya, anapata faida kwa njia mbaya, anazarau na kumukataa Yawe.