Psalms 10:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika majivuno yake husema: “Mungu hatagundua.” Mawazo yake yote ni: “Hakuna Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika kiburi chake, mwovu hamtafuti Mungu, katika mawazo yake yote hakuna nafasi ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mdhalimu kwa kiburi cha uso wake Asema, Hatapatiliza. Jumla ya mawazo yake ni, Hakuna Mungu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika majivuno yake husema: “Mungu hatagundua.” Mawazo yake yote ni: “Hakuna Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika kiburi chake mtu mwovu hamtafuti Mungu, katika mawazo yake yote hakuna nafasi ya Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika kiburi chake, mwovu hamtafuti Mungu, katika mawazo yake yote hakuna nafasi ya Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mdhalimu kwa kiburi cha uso wake Asema, Mungu Hatapatiliza. Mawazo yake yote ni, Hakuna Mungu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika majivuno yake husema: “Mungu hatagundua.” Mawazo yake yote ni: “Hakuna Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asiyemcha Mungu huvimba kichwa kwamba: Halipishi; mawazo yake yote ni kwamba: Hakuna Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mdhalimu kwa kiburi cha uso wake Asema, Hatapatiliza. Jumla ya mawazo yake ni, Hakuna Mungu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika majivuno yake anasema: “Mungu hatagundua. Hakuna Mungu.” Hayo ndiyo mawazo yake yote.