Psalms 10:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njia za mwovu hufanikiwa daima; kwake hukumu zako ziko mbali na mawazo yake, na huwadharau maadui zake wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njia zake daima hufanikiwa; hujivuna na amri zako ziko mbali naye, huwacheka kwa dharau adui zake wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia zake ni thabiti kila wakati. Hukumu zako ziko juu asizione, Adui zake wote awafyonya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njia za mwovu hufanikiwa daima; kwake hukumu zako ziko mbali na mawazo yake, na huwadharau maadui zake wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njia zake daima hufanikiwa; hujivuna na amri zako ziko mbali naye, huwacheka kwa dharau adui zake wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njia zake daima hufanikiwa; hujivuna na amri zako ziko mbali naye, huwacheka kwa dharau adui zake wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia zake ni thabiti kila wakati. Hukumu zako ziko juu asizione, Adui zake wote awakaripia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njia za mwovu hufanikiwa daima; kwake hukumu zako ziko mbali na mawazo yake, na huwadharau maadui zake wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia zake huendelea kwa nguvu siku zote, kwani mapatilizo yako humkalia mbali, wote wamsongao huwafokea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia zake ni thabiti kila wakati. Hukumu zako ziko juu asizione, Adui zake wote awafyonya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Njia za mwovu zinafanikiwa siku zote; hukumu zako ziko mbali na mawazo yake, na anazarau waadui zake wote.