Psalms 10:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwaza moyoni: “Sitakuwa na wasiwasi; sitapatwa na dhiki maishani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anajisemea mwenyewe, “Hakuna kitakachonitikisa, daima nitakuwa na furaha, kamwe sitakuwa na shida.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asema moyoni mwake, Sitaondoshwa, Kizazi baada ya kizazi sitakuwamo taabuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwaza moyoni: “Sitakuwa na wasiwasi; sitapatwa na dhiki maishani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anajisemea mwenyewe, “Hakuna kitakachonitikisa, daima nitakuwa na furaha, kamwe sitakuwa na shida.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anajisemea mwenyewe, “Hakuna kitakachonitikisa, daima nitakuwa na furaha, kamwe sitakuwa na shida.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asema moyoni mwake, Sitaondoshwa, Kizazi baada ya kizazi sitakuwamo taabuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwaza moyoni: “Sitakuwa na wasiwasi; sitapatwa na dhiki maishani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Husema moyoni mwake: Sitatikisika, vizazi na vizazi vitapita, nisipatwe na kibaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asema moyoni mwake, Sitaondoshwa, Kizazi baada ya kizazi sitakuwamo taabuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anawaza ndani ya moyo: “Sitakuwa na wasiwasi; sitapatwa na taabu katika maisha.”