Psalms 10:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kinywa chake kimejaa laana, udanganyifu na dhuluma; mwepesi kusema maneno ya kuchukiza na maovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kinywa chake kimejaa laana, uongo na vitisho; shida na ubaya viko chini ya ulimi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kinywa chake kimejaa laana, Na hila na dhuluma. Chini ya ulimi wake kuna madhara na uovu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kinywa chake kimejaa laana, udanganyifu na dhuluma; mwepesi kusema maneno ya kuchukiza na maovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kinywa chake kimejaa laana, uongo na vitisho, shida na ubaya viko chini ya ulimi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kinywa chake kimejaa laana, uongo na vitisho; shida na ubaya viko chini ya ulimi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kinywa chake kimejaa laana, Na hila na dhuluma. Chini ya ulimi wake kuna madhara na uovu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kinywa chake kimejaa laana, udanganyifu na dhuluma; mwepesi kusema maneno ya kuchukiza na maovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kinywa chake hujaa viapizo na mapunjo ya kudanganya watu, nayo makorofi na maovu yamo chini ya ulimi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kinywa chake kimejaa laana, Na hila na dhuluma. Chini ya ulimi wake kuna madhara na uovu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kinywa chake kimejaa laana, udanganyifu na ukorofi; ni mwepesi kusema maneno ya kuchukiza na maovu.