Psalms 10:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hujificha vijijini huku anaotea, amuue kwa siri mtu asiye na hatia. Yuko macho kumvizia mnyonge;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huvizia karibu na vijiji; kutoka mafichoni huwanasa wasio na hatia, akivizia wapitaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hukaa katika maoteo ya vijiji. Mahali pa siri humwua asiye na hatia, Macho yake humvizia mtu duni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hujificha vijijini huku anaotea, amuue kwa siri mtu asiye na hatia. Yuko macho kumvizia mnyonge;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huvizia karibu na vijiji; kutoka mafichoni huwanasa wasio na hatia, akivizia wapitaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huvizia karibu na vijiji; kutoka mafichoni huwanasa wasio na hatia, akivizia wapitaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hujificha na kuotea vijijini. Katika maficho humwua asiye na hatia, Macho yake humtazama kisiri mtu duni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hujificha vijijini huku anaotea, amuue kwa siri mtu asiye na hatia. Yuko macho kumvizia mnyonge;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hukaa nyuani na kuotea, amwue asiyekosa, watu wasipovijua, macho yake hutunduia walio wanyonge.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hukaa katika maoteo ya vijiji. Mahali pa siri humwua asiye na hatia, Macho yake humvizia mtu duni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anajificha karibu na vijiji akivizia, amwue kwa siri mutu asiyekuwa na kosa. Yuko macho kumuvizia muzaifu;