Psalms 100:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwabuduni Mwenyezi-Mungu kwa furaha, nendeni kwake mkiimba kwa shangwe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwabuduni Mwenyezi Mungu kwa furaha; njooni mbele zake kwa nyimbo za shangwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwabuduni Mwenyezi-Mungu kwa furaha, nendeni kwake mkiimba kwa shangwe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwabuduni BWANA kwa furaha; njoni mbele zake kwa nyimbo za shangwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwabuduni bwana kwa furaha; njooni mbele zake kwa nyimbo za shangwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtumikieni BWANA kwa furaha; Njoni mbele zake mkiimba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwabuduni Mwenyezi-Mungu kwa furaha, nendeni kwake mkiimba kwa shangwe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tokeeni mbele yake na kupiga shangwe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtumikieni BWANA kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwabudu Yawe kwa furaha, mukuje mbele yake mukiimba kwa shangwe!