Psalms 100:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jueni kwamba Mwenyezi-Mungu ni Mungu. Yeye ndiye aliyetuumba, nasi ni mali yake; sisi ni watu wake, ni kondoo wa malisho yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jueni kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Mungu. Yeye ndiye alituumba, sisi tu mali yake; sisi tu watu wake, kondoo wa malisho yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jueni kwamba Mwenyezi-Mungu ni Mungu. Yeye ndiye aliyetuumba, nasi ni mali yake; sisi ni watu wake, ni kondoo wa malisho yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu. Yeye ndiye aliyetuumba, sisi tu mali yake; sisi tu watu wake, kondoo wa malisho yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jueni kwamba bwana ndiye Mungu. Yeye ndiye alituumba, sisi tu mali yake; sisi tu watu wake, kondoo wa malisho yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jueni kwamba Mwenyezi-Mungu ni Mungu. Yeye ndiye aliyetuumba, nasi ni mali yake; sisi ni watu wake, ni kondoo wa malisho yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tambueni, ya kuwa aliye Mungu ndiye yeye Bwana! Yeye ndiye aliyetufanya, sio sisi wenyewe, tu watu wa ukoo wake na kondoo wa malishoni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mujue kwamba Yawe ndiye Mungu. Yeye ndiye aliyetuumba, sisi ni mali yake; sisi ni watu wake na kondoo wake anaowachunga.